Vipindi za kila siku

[habari][bleft]

MAWE

[mawe][bleft]

NYOTA

[nyota][twocolumns]

videos

[videos][bleft]

MAJINI

[majini][twocolumns]

About Me

My photo
I am an Astrologer, Politician,,Jounalist by proffession,very much interested in current affairs and political news around the world.

NDOTO ZETU NA MAANA ZAKE

NDOTO


Je Ndoto zipi zenye maana?
Ndoto zenye Ujumbe ni zile tu ambazo unaziota kati ya  9 usiku mpaka saa 1 asubuhi wakati huo mwili unakuwa umepumzika na umeshamaliza kazi ya kusaga chakula.
 Je Ndoto zipi ambazo hazina maana?
Ndoto ambazo hazina ujumbe ni zile ambazo.
  1. unaziota mapema usiku au mara tu unapolala.
  1. Ndoto unazoota wakati ukiwa na matatizo ya Tumbo au ukiwa mgonjwa.
  1. Ukiwa umelala sehemu yenye kelele nyingi nje kama ngoma au disko au umelala katika chumba chenye joto jingi au ukiwa wewe mwenyewe umelala vibaya.
  1. Ndoto ambazo unaota ikiwa chumbani kwako kuna televisheni au radio inawaka.
 Tafsiri ya ndoto kwa ujumla:
  1. Ukiota katika ndoto kitu chochote chenye Ncha kali kama kisu, mkasi, panga, shoka, msumari sindano na jamii ya vitu hivyo ndoto hiyo inaashiria wewe uliyeota kupata habari mbaya za kifo, au kufungwa, ugonjwa,kufukuzwa kazi, kuibiwa, kutapeliwa, moto
  1. Ukiota katika ndoto kitu chochote chenye kungara au cheupe, iwe nyumba gari, nguo, hiyo kwa muotaji ni dalili ya kupata “bahati nzuri au mambo mazuri.” Kupata pesa, kupata mchumba,safari yenye faida, kupata cheo, kupona mgonjwa,kuzaliwa mtoto    
  1. Ukiota katika ndoto kitu chochote kichafu au kisichopendeza, hiyo kwa muotaji ni dalili ya kupata upinzani na bahati mbaya. Kama kupingwa katika mambo yako, kufanyiwa fitna kazini au katika biashara, kutorokwa na mke au mpenzi, kupoteza mali, kuibiwa,kupigwa, kukamatwa au polisi kupata ajali
  1. Ukiota katika ndoto unapanda Juu kwa njia yoyote ile kama vile kupaa, kupanda ngazi kupanda kwa kamba, hiyo kwa muotaji ni dalili ya kupata mafanikio ya kimaisha, kadri unavyozidi kupanda ndio mafanikio yatakuwa zaidi
  1. Ukiota katika ndoto unashuka au unaanguka kwa njia yoyote ile, hiyo kwa muotaji ni dalili ya kukwama na kupata pingamizi katika mambo yako, kadri unavyozidi kwenda chini ndio kiwango cha kuharibikiwa kwa mambo yako
  1. Ndoto za kuota unastarehe zina maana tofauti ziko za bahati mbaya na zipo za bahati nzuri, kwa mfano ukiota unafurahia labda ngoma au harusi au tafrija au unacheza mziki uliokufurahisha, hiyo kwa muotaji itakuwa dalili ya mafanikio.
               
  1. lakini kama ukiota uko katika sehemu hizo na hufurahi yale yanayoendelea hapo hiyo ni dalili ya kupata bahati mbaya. 
  1. Ndoto zingine zinatafsiriwa kulingana na mazingira mfano ukiota Kabati limejaa, maana yake mambo yako yatakuwa mazuri, kama pesa zitaongezeka, kama ugonjwa utapona, kama safari itakuwepo,kama kazi utpata cheo na kadhalika. 
  1.  Kama ukiota kabati tupu maana yake mambo yako wewe muotaji yatakuwa mabaya.yote uliyonayo yatapotea, utaibiwa utatapeliwa, utaumwa na mengine mengi.
  1. Kama ilivyo ndoto ya maji ukiota maji yametulia ni dalili ya mafanikio na bahati nzuri, utulivu wa mambokama ni kesi utashinda anayekudai atatulia na utawashinda maadui zako.
  1.  ukiota maji yenye mawimbi inaashiria ugumu wa mambo na matatizo. Utapata misukosuko ya kimapenzi, kikazi na kimaisha 
  1. Ukiota maji machafu, hiyo ni dalili ya bahati mbaya. Katika jambo lakololote unalotaka kufanya.
  1. Ukiota Pingamizi katika ndoto mfano Ukuta, mlango, kufuli, dirisha, bonde, milima, au uzio, hizo ni dalili ya ugumu na upinzani katika mambo yako ambao utakumbana nao, mfano ukiota mlango ambao unafunguka kirahisi, hiyo ni dalili ya kupata upinzani mdogo, lakini ukiota mlango unafunguka kwa taabu, tegemea kupata pingamizi kali au ugumu mkubwa katika mambo yako.
  1. Kuna ndoto zingine zinatafsiriwa kinyume, mfano ukiota Unalia maana yake utacheka  au  utapata hasara katika jambo lako lolote..
ukiota una woga basi utapata ujasiri,
     
ukiota umekuwa tajiri basi utapata umasikini

Ukiota umepoteza maana yake utapata

7 comments:

  1. Enter your comment...sasa Mimi nimeota nyoka ana taka kunifwata Na nnampokonya mtu funguo nahangaika kufungua mlango nashutuka inamaana ganii

    ReplyDelete
  2. Enter your comment...sasa Mimi nimeota nyoka ana taka kunifwata Na nnampokonya mtu funguo nahangaika kufungua mlango nashutuka inamaana ganii

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...sasa Mimi nimeota nyoka ana taka kunifwata Na nnampokonya mtu funguo nahangaika kufungua mlango nashutuka inamaana ganii

    ReplyDelete
  4. Nimeota mwanangu anaanguka korongoni ina maana gani

    ReplyDelete
  5. The best stunt to play the game is challenge better players and don't consider yourself to be the victor. Gain proficiency with another ability each time you play the game and attempt to utilize it while going on a test in order to ace the demonstration and make it a magnum opus when you truly need to use it.
    https://pixelgun3dgame.com





    ReplyDelete