kazi za kila nyota
KAZI ZA KILA NYOTA
1. PUNDA (Aries):
·
Jeshi, Kazi za
Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji, Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha.
2. NG’OMBE (Taurus):
·
Muziki, Kazi
zinazohusiana na chakula (Hoteli), Ujenzi, Kazi za Mashamba, Uhasibu, Sanaa
(Uchoraji na Uchongaji).
3. MAPACHA (Gemini):
·
Utangazaji,
Uchapishaji, Ualimu, Ushauri, Ufasiri, Biashara ya Kusafiri.
4. KAA (Cancer):
·
Madawa, Kazi za
Baharini, Kazi za Upishi, Kazi za Kuhudumia Watoto, Kazi za Benki, Kazi za
Usimamizi (Foreman), Kazi za Uandishi.
5. SIMBA (Leo):
·
Kazi za Usimamizi,
Michezo, Kazi za Usonara, Mwanamitindo, Kucheza Sinema, Kazi zinazohusiana na
Masuala ya Vijana, Ualimu.
6. MASHUKE (Virgo):
·
Kazi za Uchapishaji,
Uongozi, Elimu, Afya, Biashara, Ukatibu Mukhtasi (Secretary).
7. MIZANI (Libra):
·
Kazi za Uhusiano wa
Jamii, Ushauri wa Ndoa, Biashara ya Sanaa, Ushauri wa Mambo ya Urembo,
Uanasheria, Uhakimu.
8. NGE (Scorpio):
·
Kazi za Madawa, Kazi
za Upelelezi, Wachunguzi (Researcher), Mafundi Bomba, Kazi za Historia
inayohusiana na Mabaki ya Viumbe (Archeology), Ushauri wa Mambo ya Ngono (Sex
Therapy).
9. MSHALE (Saggitarius):
·
Kazi za Kusafiri, Kazi
za Sheria, Uandishi, Ualimu, Dini, Michezo, Jeshi, Uuzaji.
10.
MBUZI (Capricorn):
·
Kazi za Uinjinia,
Uchoraji wa Ramani za Majumba, Saveya, Kazi za Serikali, Siasa na Udaktari wa
Meno.
11.
NDOO (Aquarius):
·
Fundi Umeme, Computer,
Uchunguzi wa Kisayansi, Kazi za Jamii, Kazi za Unajimu, Kazi za Mazingira.
12.
SAMAKI (Pisces):
·
Unesi, Muziki, Dansi,
Uigizaji, Askari wa Majini, Kazi za Kidini, Kupiga Chapa, Kazi za kutoa
Ushauri.
Labels:
nyota
No comments: