KUJUA TABIA ZA KILA NYOTA
KUJUA
TABIA ZA KILA NYOTA
Andika jina lako, La Baba na la Mama ujue lina herufu ngapi.
Mfano:
Jina: SYLVIA
Jina la Baba: AUSTIN
Jina la Mama: NORA
Jumla ya herufi zote ni 16 unajumlisha
(1 + 6 = 7)
Ikiwa ni
1, 5, au 9 namba za MOTO
3, 7, au 11 namba za UPEPO
2, 6, au 10 namba za UDONGO
4, 8, au 12 namba za MAJI
KUJISAFISHA:
MOTO: Weka picha karibu na moto au Glope au lala karibu na moto.
MAJI: Lala karibu na Bomba au mtoni weka picha juu ya glasi ya maji.
UDONGO: Lala chini au mchangani au kwenye vumbi chini ya mti.
HEWA: Weka picha yako mahala
panapopita hewa dirishani, au juu ya mti.
Kwenye fan
au air condition
KUMWITA MPENZI:
Ikiwa mmetofautiana kinyota mfano mmoja MOTO na mwingine HEWA
1.
Weka dirishani au
karibu na jiko au balbu au tochi yenye
kuwaka.
2.
Mkiwa wote MAJI
laleni katika bafu pamoja.
3.
Ikiwa Tabia hazipatani MOTO na MAJI zima Taa unapokoga au
mwaga maji mbali na MOTO.
075 4563706
Labels:
nyota
je kama hewa na udongo?
ReplyDelete